House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA - #UBUNG_RIVERSIDE__KIBANGU
####################
CHUMBA MASTER KIKUBWA NA SEBULE KUBWA Tsh. 150,000/= Nyumba ipo ubungo kibangu
#####################
Usafiri bajaj 500
####################
Numba zipo ndani ya fensi parking ipo ya kutosha
#####################
Full Tilles, Gypsum & Shata indow. LUKU ya kushea na Maji yapo DAWASCO yanaflow ndani
#####################
Kodi 150,000\/= Kwa mwezi malipo miezi 6 na malipo ya mwezi mmoja wa dalali ambwene Ubungo#
#####################
#Service_Charge_15000/= ya kuonyeshwa na kutafutiwa Nyumba mpaka upate bila kuchajiwa tena ukirudi.
#####################
Dalali ambwene Ubungo.
0712-348-316
0769-680-796 whatsApp,instagram
#####################