House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NI APARTMENT 2 TU KWENYE COMPOUND MAFUNDI WAPO SAITI KWA KASI YA 5G KUJENGA FENS
NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDAN
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
########
VYUMBA 2 VYA KULALA SEBULE JIKO NA CHOO NDAN aina master
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NDAN YA FENS PARKING IPO
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI BAJAJI 500 KUTOKA KOROGWE NA 700 KUTOKA UBUNGO EXSTENO
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0742260844
0657384670