House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NIMEKIPUNGUZA MIEZI SASA NJOO NA MIEZI MINNE 120,000X4
.
.
NI CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA
.
KIPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE
.
.
KODI NI 120,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4 TU
.
.
IPO NDAN YA FENSI PARKING IPO
.
.
CHUMBA KINA TILES GYPSUM ALUMINUM SAFI LUKU 2 NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW CHOONI
.
UMBALI NI KM 1.8 KUTOKA UBUNGO RIVER SIDE USAFIRI UPO BAJAJI 700 UKISHUKA KWENYE BAJAJI DK 3
UPO NYUMBANI
:
:
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15
:
:
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1
:
:
What saapp number ⬅️ 0689-547258