House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


(200,000X4)UBUNGO MAKOKA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NI CHUMBA MASTER NA SEBULE
=====================
KINAPANGISHWA 200X4
==================
NI NYUMBA NZURI INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW CHOON
===================
IPO UBUNGO MAKOKA KWA MKUA
=======================
UFIKAJI
########
UKITOKEA KIMARA KOROGWE UNAFIKA NYUMBAN
UKITOKEA UBUNGO EXSTENO UNAFIKA NYUMBAN
KOTE USAFIRI WA BAJAJI UPO 500 UKISHUKA DK 5 MPKA 7 UPO NYUMBAN
======================
KODI 200,000 KWA MWEZI
=======================
IPO NDAN YA FENS ILA SIO YA KULAZA GARI MAZINGIRA NI MAZURI NA TULIVU
========================
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
==================
CONTACT
0716223412
0683597453