House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


INAKUA WAZI TAR 06/03/2024 J TANO KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA
=======================
NI CHUMBA KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
CHOO NI NJE CHA KWAKO MWENYWE ZIPO APARTMENT 3 NA KILA MMOJA NA CHOO CHAKE
====================
KODI NI 100,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA KAMILI
=====================
INA TILLES GYPSUM SAFI DRISHA SHATA MAZURI YENYE HEWA LUKU 3 NA PANA SABMITA NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24
======================
IPO NDAN YA FENS SAFI NA MAZINGIRA NI MAZURI MNOO
=================
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KUTOKEA KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE KOTE UNAFIKA NYUMBAN
====================
USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI ZA KOROGWE 500 ZA RIVA SIDE 700
====================
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
=====================
CONTACT
0742260844
0657384670