House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
NEW MASTER BEDROOM &KITCHEN 300K X3
ILIPWE LAKI TATU MALIPO YA MIEZI MITATU NA KUENDELEA
NYUMBA IPO UBUNGO KIJAZI NYUMBA LAMI YANI UKISHUKA KWENYE USAFIRI UNAINGIA NDANI
SIFA ZAKE
#CHUMBA MASTER
#KITCHEN
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK UMEME WAKO PIA MAJI YANAFROO NDANI UKILIPA KODI UMELIPA NA MAJI MAJI FREE 24HRS
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 20,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347