House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM 2 BAJAJI SH.500 DALADALA SH.500 UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 7 KWA MGUU
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO LA INJE
TYRIES GYPSAMU DILISHA ALUMINIAMU UMEME SABMITA 2 MAJI YANA FROO NDANI NYUMBA IKO KWENYE FENCI AILA GARI MAZINGIRA MAZURI
KODI 200K MALIPO MIEZI X6
SERVICE CHANGER SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA ๐ค
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI