House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri
Location ubungo makoka kwa mkua km 2 usafiri bajaji na daladala za kwenda mjini
Kodi 180000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba na sebule
Choo ndani
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo
Parking space fency
Nyumba itakuwa teyari tarehe 15 kuona nyumba
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128