House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Ubungo Msewe, Kupitia Kimara Baruti
🕑Dakika 10 Kutembea Kutoka Morogoro Main Road
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Kibalaza
🔹Umeme Luku Yake, Maji dawasa yanaflow ndani
🔹Hakuna Fensi, Ila Pazuri na Usalama ni Mkubwa
👉Zipo 4 Hapa, na hii Moja ndio Inakuwa Wazi Tar 28/05/2024 Kuiona na Kulipia Ruksa.
🔶Kodi Tsh 220, 000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 220, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊