House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT YA KUPANGA #UBUNGO_MAKOKA
###############
#KODI 180,000 KWA MWEZI ILIPWE MIEZI 4,5,6
###############
#CHUMBA MASTER,SEBULE NA JIKO NZURI
################
NYUMBA AINA UZIO ILA GARI INAFIKIKA VIZURI BRBR SAFI NI KM 2 KUTOKA MENROD UBUNGO RIVA SIDE USAFIRI BAJAJI 500 TUU
################
INA TILES GYPSUM ALIMINIUM UMEME WAWILI MAJI YAPO DAWASCO MASAA 24 YANAFLOO NDANI
################
180,000KX4,5,6 NA MWEZI MMOJA WA DALALI PINDI UKILIPIA NYUMBA
################
KUPELEKWA KUIONA NYUMBA NI ELIFU 15,000 NA ITADUM MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
################
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316Whatsp
#0769680796whtsp