House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


INAKUA WAZI J PILI TAR 03/03/2024 KUJA KUIONA NA KULIPIA RUKSA
NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA
IPO UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KARIBU KABISA NA STEND YA DALADALA NA BAJAJI
KODI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA SANA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI
ZIPO APARTMENT 3 KWENYE FENSI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 IPO NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA
UMBALI KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT
0742260844
0657384670