House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


# APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
# Vyumba 2 sebule choo ndan ya gate parking ipo bei 250k hapa ubungo msew barabara ya lami ya chuo
# Barabara ni rami tupu hadi getin
# Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087