House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


(300,000X3)UBUNGO MAKOKA...AMKA NAYO..
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NAIFAULISHA MIEZI MITATU (3) 300K X3
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE AU KUTOKEA KIMARA KOROGWE PIA UNAWEZA TOKEA UBUNGO EXSTENO
KOTE UNAFIKA NYUMBAN VIZURI SANAAA NA USAFIRI WA BAJAJI UPO MASAA 24
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 3, 4, 5, 6
SIFA ZAKE
########
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA SIO VIKUBWA SANA CHUMBA KIMOJA NI MASTER SEBULE JIKO ZURI NA PUBLIC TOILET NZURI
ZIPO APARTMENT 2 TU KWENYE FENCE NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA SANA PERVING BLOCK SAFI GARDEN NZURI MAZINGIRA SAFI NA TULIVU MNOO
KUPELEKWA SITE ELF 15
CONTACT
0716223412
0683597453