House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM 2 BAJAJI SH.500 DALADALA SH.500 UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 7 KWA MGUU
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO LA INJE
TYRIES GYPSAMU DILISHA ALUMINIAMU UMEME SABMITA 2 MAJI YANA FROO NDANI NYUMBA IKO KWENYE FENCI AILA GARI MAZINGIRA MAZURI
KODI 200K MALIPO MIEZI X6
SERVICE CHANGER SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA
N.B NYUMBA HII ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 22.04.2025
ANGALIZO
service Charge 15,000 Utaonyeshwa Nyumba zote Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo NYUMBA067370515