House for Rent at Uhuru, Dodoma
“Funga mwaka kwa uwekezaji wa kipekee! Nyumba ya kisasa yenye wapangaji wanaolipa jumla ya Tsh milioni 1.2 kwa mwezi, na kodi yenye nafasi ya kupanda kadri muda unavyoenda! Hii ni nafasi ya uhakika ya kuingiza kipato cha kila mwezi na kujiwekea uhuru wa kifedha. Hati ipo katika hatua za mwisho za usajili, hivyo jina litakuwa moja kwa moja la mnunuzi. Nyumba ipo Tabata Segerea, eneo zuri na lenye huduma zote. Gharama za kutembelea na kukagua ni Tsh 50,000. Usikose nafasi hii adimu!
#UwekezajiWaKudumu #NyumbaKwaWenyeNia #TabataSegerea #FursaYaKipato #NyumbaYakoSasa #MwakaMpyaNaUwekezaji #RealEstateTanzania”#fensed#dalalisosotabata