House for Rent at Ukonga, Dar Es Salaam


๐ NYUMBA YA BIASHARA INAUZWA โ UKONGA GONGO LA MBOTO!
Karibu na Kampala University, barabara ya lami kabisa ๐
Ina vyumba 7 vyote vimepangishwa na wanafunzi, kila kimoja na LUKU yake ๐
๐ Mtaa wa Markazi, Ukonga
๐ Ukubwa: 449Sqm (Kitalu Na. 30)
๐ Umiliki: Leseni ya makazi
๐ง Maji DAWASA + Tenki
๐ CCTV Camera
๐ก Umeme wa uhakika
๐ฐ Bei: TZS 180M (maongezi yapo)
๐ 0788 958 441
โก๏ธ Uwekezaji wa uhakika, kipato kila mwezi!
__
#nyumba #houseforsale