House for Rent at Ukumbi, Iringa




Eneo linakodishwa lipo Boko Chama linaangalia barabara ya lami. Punguzo la Kodi kutoka 7,000,000 mpaka 5,000,000.
Ukubwa
Square meters 1132 ( urefu ni meter 39 na upana 29 meter.)
Kodi Kwa mwezi: 5,000,000( Maongezi yapo).
*TITLE DEED* (hati miliki ya wizara ipo).
Linafaa Kwa kufanyiwa shughuli yoyote
Yard na ofisi
Ukumbi au kumbi za starehe
Showroom
Apartments
Night clubs
Duka la vifaa vya ujenzi
Guest and lodge house
Kituo Cha Mafuta (Petrol station)
Bar na restaurant
Supermarket e.t.c. *Angalizo* , eneo haliuzwi na haliruhusiwi kutumika kama sehemu ya nyumba ya maombi ( ibada)
Sevchage 30000 kwenda kuona saity
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347