House for Rent at Usagara, Mwanza







NINA NYUMBA MPYA IKOPEKEYAKE NI MPYA UKINGIA NDO WAKWANZA...
IKO USAGARA KIBAMBA SHULE KM 1. UKISHUKA TU NI DK 2 UMEPIGA TEKE MLANGO BAJAJI 700 PKPK 1000 DALADALA 500
NYUMBA NI YA KISASA MPYA
SIFA ZAKE...
CHUMBA MASTA
SEBULE
JIKO. LINA MAKABATI KAMA YOTE
LUKU NA MAJI
KILA KITU KINA JITEGEMEA.
ALUMINUM
FENI
TAILZ
GPSAM
HAIKO KWENYE FENS MAZINGIRA MAZURI SANA INJEE..
KODI 200k
##0655256419