House for rent at Uwanja Wa Taifa, Morogoro
Nyumba nzima.inapangishwa
Ina vyumba 3 vya kulala
Kimojawo.masta
Sebule choo na jiko
Nyumba kubwa na inafaa kww familia
Madirisha kioo
Full tailizi
Eneo uwanja wa Taifa
Bei kwa mwezi (800000) Kodi miezi 8 au mwaka
Kwa mweI laki 8
Call me 0754206815/0629956838
Nyumba aushei na mtu peke yako