House for rent at Uwanjani, Songwe


CHUMBA SEBULE CHOO CHA PUBLIC NDANI NA JIKO INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.3
SIFA ZAKE:
IPO NDANI YA FENCE
MAJI YANAFLOW NDANI
UMEME SUBMITA YAKE
MAZINGIRA MAZURI SANA
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
------------------
KODI NI LAKI 170,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA
MALIPO YA DALALI MWEZI
MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
----------------------------
CONTACT
NO=0766825473
WSP=0788410350