House for Rent at Vikindu, Pwani


Karibuni sana site ya vikindu vianzi kiwanja utapata kwa bei ya ofa tsh 1,400,000 Ukubwa (fut 40x 50) Sawa na sqm 200 na unaruhusuhiwa kuunganisha viwanja zaid ya viwili
π viwanja ni vizuri vipo sehem tambalale na karibu Na huduma zote za kijamii kama ( hosptal, maji,shule,nyumba za ibada,barabara zinapatika vzr na usafiri unapatikana muda wote)
π kwenda kuona site ni bure nausafiri upo wakukupeleka site na kukurudisha na office zetu zipo wazi kila siku kuanzia saa mbili kamil asubh(08:00am) mpka saa kumi na mbil jion ( 06:00pm)
πpia tuna huduma ya malipo kwa awamu unaweza lipia 70% na kuendelea kulipa kidogokidogo ndani ya miezi 3
NB; kwa mawasiliano 0779 400686
#viwanjavilivyopimwa #viwanjabeinafuu #hussproperty #viwanjavikindu #vikindu #realestates #viwanjapwan #viwanjavizuri #niffer #mangekimambi #zuchu #wasafi #treandingreels