House for rent at Wazo, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-TEGETA WAZO
NYUMBA NZURI YA KISASA
INAJITEGEMEA
YA FAMILIA
YENYE;
Vyumba vitatu vya kulala kimojawapo ni master, Dinning, Sebule, Jiko & Public Toilet
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Fencedhouse
KODI TSHS LAKI 3 KWA MWEZI
MALIPO NI MIEZI 6
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118
Swipe left ππ½