House for Rent at Wazo, Dar Es Salaam


.
TEGETA WAZO KONTENA
Nyumba inapangishwa TEGETA DAR ES SALAAM
Ina chumba chenye choo ndani
sebule
Jiko
Nyumba classic mno
Ukikataa na hii uje sasa tukupe kiwanja ukajenge ya kwako
Kodi 400,000/= Tzs kwa mwezi malipo ya miezi mitatu mitatu
Kwa nyumba kali na nzuri za kupanga wasiliana nasi SWAHILI_REAL_ESTATE
Ama tembelea ofs zetu zilizopo Mwenge Lufungira nyuma ya jengo la Tanzanite tower
NB: VIGEZO NA UTARATIBU KUZINGATIWA
Service charge 20,000/= Tzs
Agency fee ni sawa na hela ya mwezi mmoja ya kodi ya nyumba husika
Piga/whatsapp: 0769138053
Follow
swahili_used_items
#2024HudumaMpakaNyumbaniKwako