House for rent at Wazo, Dar Es Salaam
NYUMBA KUBWA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINING ROOM
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 500,000/= X 6👈
ILIPWE LAKI 5 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
🇹🇿 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO TEGETA WAZO HILL (MAENEO YA MSIGANI) IPO SEHEMU NZURI USAFIRI UPO WA AINA ZOTE DALADALA,BAJAJI NA BODADADA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37