House for rent at Wazo, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/04/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ฅ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINING ROOM
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 600,000/=ร6
ILIPWE LAKI 6 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
๐น๐ฟ NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO TEGETA WAZO HILL (MAENEO YA MSIGANI) IPO SEHEMU NZURI USAFIRI UPO WA AINA ZOTE DALADALA,BAJAJI NA BODADADA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
๐ฅ NYUMBA HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/04/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
___________________
CALL_+255 679 897 628/WSP DLL Sd660 T dsmtz