House for Rent in Tabata, Dar Es Salaam


🏡 KIWANJA KINAUZWA – TABATA SEGEREA
Kiwanja kizuri kinauzwa kikiwa na ukubwa wa sqm 500, kipo eneo zuri na linalokua kwa kasi.
📍 Umbali:
• Kilometa 1 kutoka Stendi ya Segerea Mwisho
• Dakika 10 kwa mguu
• Bodaboda ni elfu 1 tu
🚗 Upatikanaji:
Barabara imechongwa vizuri na ina zege — gari linafika hadi kwenye kiwanja bila changamoto (hata magari ya chini).
🏢 Matumizi:
✔️ Makazi binafsi
✔️ Apartments za kupangisha (fursa ya kipato)
💰 Bei: Milioni 38 (mazungumzo kidogo yapo)
📞 0688412890 Karibu sana uje kuona eneo, tukamilishe biashara.
👀 Service charge: 30,000/=



















