House for sale at Bagamoyo, Mbeya


Jengo la Ghorofa moja, lipo boko Basihaya chasimba na Lina:_
1.vyumba selves contained vinne vya kulala, vyumba vitatu vipo juu Ghorofani na kimoja kipo chini.
2.Kuna seating room na dinning pia
3.Kuna Jiko/Kitchen
4.Kuna store mbili, juu moja na chini moja
5.Kuna vibaraza Vinne.
>Jengo lina ukubwa wa square meters 308
>>Umbali kutoka barabara ya Rami Bagamoyo road ni mita 350
>Maji yameshavutwa hapo nyumbani.
>Umeme upo hapo nje ya Nyumba, ni kuvuta tu.
>Plot square meters ni 600
>Baada ya kushauriana na Wenzangu, tumekubaliana bei iwe mwisho 150million na mwisho kalibu sana kwa mawasiliano call 0762 288 393 Whatssap O715499913 call