House for sale at Bagamoyo, Mbeya


*Shamba la Ekari 60 linauzwa Mwavi, Bagamoyo*
*Distance* 2km Kutoka Barabara kubwa inayowekwa lami
*Location* Shamba limeshika Barabara ya Mwavi kwenda Viwandani inayowekwa lami
*Vitu vilivyomo ndani ya Shamba*
👉Shamba kuna Ekari 1 imezungushiwa fence ambapo kuna Mbuzi na Kondoo 400 na Ghorofa ina vyumba v3 vya kulala, juu vyumba v2 na chini v1.
👉 Nyumba ya Wafanyakazi.
👉 Ng'ombe 50 wa Kienyeji na Kisasa wanakamuliwa maziwa
👉Kuna Maji ya Dawasco na Umeme
👉Shamba limepakana na Mto wa msimu.
👉Shambani kumepita Umeme mkubwa
*Eneo linafaa kwa matumizi ya Kiwanda, Shamba la Ufugaji, Kilimo*
-Plot size Ekari 60
-Document: Survey (Pamepimwa)
0713 636000
*Bei shilingi milioni 450 maongezi yapo*