House for sale at Bunju, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KISASA INAUZWA
___________
LOCATION: BUNJU B - (Mtaa wa Kishua sana).
___________
Nyumba ina vyumba 4, 2 Master, Sebure, Dining, Kitchen na Public Toilet.
KIWANJA: Kina Ukubwa Sqm 800
Kiwanja kimepimwa na kina Hati Kamili ya Wizara
___________
BEI: TSH MIL 130 Ila maongezi yapo kidogo
Service Charge: Tsh. 20,000/=
Call/WhatsApp: 0687800788