House for sale at Bunju, Dar Es Salaam


DATE: 15/01/2024
NYUMBA INAUZWA(ZIPO 2 NDANI YA FENSI MOJA)
BEI: TSH MIL 80 Ila maongezi yapo.
___________
LOCATION: BUNJU B - Sio mbali na barabara
___________
Nyumba Moja ina Vyumba 3 vya kulala, 2 master, sebure, Jiko na Public Toilet.
Nyumba ya Pili ni Chumba master, sebure na Jiko
___________
Kwa Mawasiliano:-
Piga/WhatsApp : 0713 - 958 395
0687 - 800 788