House for sale at Buswelu, Mwanza
Eneo hili linauzwa liko Buswelu Mwanza simbali na senta Lina hatua 60 kwa 60 ndani ya eneo Kuna Nyumba nyingi Ilikuwa Guest House ya zamani lkn kwa Sasa Kuna wapangaji ktk vyumba vyote mmiliki anahitaji ela ya haraka amepunguza Bei kutoka ml68 Hadi ml55 Tupigie 0686887297/0767346478