House for sale at Chanika, Dar Es Salaam







Nyumba zinauzwa chanika Nyeburu stend (kabsaaa) wilaya ya Ilala Dar
📌BEI MILION 21 inapungua📌
Vyumba v3 na sebule
Tailz jipsam maji umeme
Ina fens pia
Nyaraka ya serikal ya mtaa
GARI MOJA HAD MJINI
Whatsap au piga 0673601114