House for sale at Chanika, Dar Es Salaam
NYUMBA NNE PAMOJA, TSHS.46 MILIONI, CHANIKA MAGENGE.
Hapa kuna jumla ya vyumba 13 zilizogawanyika katika vyumba nne ambazo zipo ndani ya kiwanja kimoja.
Eneo ni jirani na Barabara ya Lami.
Kuna Kisima na Parking.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255714591548
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.