House for sale at Chanika, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa chanika italiani (kigezi kwa swai) wilaya ya ilala Dar
✍️BEI MILION 25✍️
Vyumba v3 kimoja masta
Ina frem 2 za biashara
Dining siting jiko
Nyaraka ya serikal ya mtaa
Eneo sqm 400
Whatsap au piga 0673601114