House for sale at Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KIFAHARI / GOROFA ZURI SANA LINAUZWA - GOBA KINZUDI
■PRICE/BEI MILLION 450 maongezi yapo kidogo
■SIFA ZA NYUMBA:INA VYUMBA VIWILI JUU VYOTE MASTER NA SITTING ROOM MOJA
■INA VYUMBA VITATU CHINI VIWILI MASTER KIMOJA SIYO MASTER,SITTING ROOM,DINING ROOM KITCHEN NA PUBLIC TOILET
■ENEO NI KUBWA NA ZURI NA NI SQMT 868 NI TAMBALALE KABISA
■NYUMBA INA HATI NA IMEKAMILIKA KILA IDARA
UNAKAGUA KWANZA UKIJIRIDHISHA NDO UNALIPIA
Visiting fee 50,000
Call/WhatsApp 0745488000