House for sale at Goba, Dar Es Salaam
TAREHE 17/07/2024
NYUMBA INAUZWA
MAHALI GOBA MAGETI
UMBALI MITAA 400 KUTOKA LAMI
SIFA YA NYUMBA
NJE YA NYUMBA KUNAVYUMBA VYAKUPANGISHA
AMBAVYO NI CHUMBA SEBLE CHOO NDANI VIPO VINNE BEI 150
HALAFU KUNANYUMBA. KUBWA
Yavyumba vitatu vyakulala
kimoja master
Public
Jiko
Sebre
Daining
Maji
Umeme
Fence
Geti
BEI MIL 160 MAONGEZI
CONTACT 0659411652/0694226665