House for sale at Goba, Dar Es Salaam
NYUMBA KALI MNO INAUZWA GOBA MATOSA YENYE SIFA HIZO
VYUMBA V4 KULALA V2 MASTERS,SEBLE KUBWA,DINNING,CHOO PUBLIC,STORE NK
UKUBWA WA KIWANJA SQM 500 PAMEPIMWA(Ulasimishaji tayari)
MTAA MZURI MNO UMBALI TOKA MATOSA ROAD MITA 200
BEI MILLION 115 MAONGEZI YAPO
0713486848
0754486848