House for sale at Ilala, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa Bei ya kutupa kabisa ipo ILALA MSONGORA ni nyumba ya vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master bedroom Moja Kuna Dina jiko na seeting room kubwa bei million 12 maongezi kwa maelezo zaidi tupigie simu
0785527006..