House for sale at Kerege, Pwani
Hii nyumba nzuri sana INAUZWA
Bei milion 35
Ipo kerege matumbi
Ni vyumba vitatu kimoja Master sebule na jiko
Nyumba Ina maji na umeme
Ipo Mahali pazuri sana hata frem unajenga na unafanya biashara
Bei million 35
Piga 0783436763 au 0711421798