House for sale at Kibada, Dar Es Salaam
Ghorofa inauzwa Location kigambon kibada Gorofa ya vyumba 7 vyumba vyakulala vyumba vyote ni masters bedroom vyumba vyakulala stingiroom dainingiroom kitchen toilet public master bedroom stoo nyumba bei bilioni 1.1 nyumba ipo kalibu na Barbara kuu kabisa nyumba inauwanja wakutosho ukumbwa wakiwanja sqmt 1300 nyumba ina hati miliki Kabisa yawizara ya alidhi #068491594 #0716974073