House for sale at Kibada, Dar Es Salaam
Ghorofa inauzwa Location kigambon kibada nyumba ya vyumba 6 vyakulala stingiroom dainingiroom kitchen toilet public master bedroom stoo nyumba bei ml bei ml 600 nyumba ina hati miliki Kabisa yawizara ya alidhi ukumbwa wakiwanja sqmt 1500 nyumba ipo kalibu na Barbara kuu kabisa kutoka lami mita300 tuu kufika ktk nyumba nizuli saan nyumba ipo mtaa mzuri sana majirani wamepangika vyema sana mtaa ambao hata kupata kiwanja ningum sana mtaa ulio tulia sana sana nyumba ukiwa serious awezi kuiyacha kabisa