House for sale at Kibada, Dar Es Salaam
HOUSE FOR SALE KIGAMBON KIBADA
PRICE:1.1BILLION MAZUNGUMZO YAPO.
MITA 10 KUTOKA BARABARA YA LAMI
Ina vyumba 7 vyumba 6 master,sebure 3, dinning,jiko kubwa, sehemu ya kusomea,stoo
Inafaa Kwa makazi au biashara
Ina gorofa 02,Ina msingi wa ghorofa 05
Garden unaweza ukafanya shughuri ya watu 300, parking ya kutosha.
Kiwanja sqm 1800 Tittle deed ina Hati miliki ya wizara
#luxurioshouse#nyumbanzuri #kibada #realestate #viwanjabeirahisi #tic #dstv #tiles #Garden #wasafimedia #