House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa Dar es salam TZ ukubwa wa kiwanja ni Ukubwa wa kiwanja ni 460.63sqm, HATI Magogoni Kigamboni baada ya mikadi beach Kuna sheli ya OOMCO zamani ilijulikana kama SCaba Scuba unafuata Barabara kuambaa ukuta uliojengwa hadi getini site ilipo. Kutoka nyumba ilipo hadi Barabara KUU ITOKAYO FERRY ni MITA 150 na kutoka nyumba ilipo hadi ufukweni/ beach iliyopo nyuma ya songoro martini ni mita 250 tu hapo umekanyaga maji ya bahari ukarabati wa paa.Bei 230ml mazungumzo yapo coll-255788075525 inst dalali dula