House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


*Nyumba Nzuri ya Kisasa Inauzwa milioni 220 maongezi yapo)*๐IPO
KIGAMBONI GEZA ULOLE BROCK (C) Dar es salaam : Tanzania
*Distance* Mita 800 tu kutoka Barabara ya lami ya kwenda Avick town au mongozo
-Nyumba ina vyumba Vi4 vya kulala, vyumba Vi2 master bedrooms, sitting room, dining room, kitchen, store, Public toilet
-Plot size Sqmtrs 800
*Document* TITLE DEED (Hati miliki kutoka wizara ya ardhi)
*Bei shilingi milioni 220 maongezi yapo*