House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam




KIGAMBONI KIBUGUMO KWA MADADI
MITA 400 KUTOKA MAIN ROAD YA GEZA ,KUTOKA FERY✅
NYUMBA INAUZWA ,KIBUGUMO MTAA WA MADADI, NYUMBA IMEGUSA BARABARA YA MTAA, INA VYUMBA VITATU3, KIMOJA MASTA, SEBULE JIKO NA CHOO✅
SIFA;
_Vyumba vitatu3,kimoja masta
__MBELE KUNA FREMU YA BIASHARA
__Eneo lina squre mita 350
__Nyumba imegusa road ya mtaa
__Nyumba ina fensi ,kwa nyuma ya kuweka magari ata matatu3 ;
_MAJI, UMEME, BARABARA CLEAN✅
_MAJIRANI WAMEJENGA VIZURI
PRICE MILLION 60
Contact.(.0629827031 )