House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba ya gorofa inauzwa kigamboni kibada
Ina vyumba 7 vyumba 6 master,sebure 3, dinning,jiko kubwa, sehemu ya kusomea,stoo
Inafaa Kwa makazi au biashara
Ina gorofa 02,Ina msingi wa ghorofa 05
Garden unaweza ukafanya shughuri ya watu 300, parking ya kutosha
Bei USD 500,000/=
0717191719/0765003638
Dalali Msomi