House for sale at Kigogo, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA ZIPO 3 NDANI YA COMPAUND MOJA
NA HATI NI MOJA UWEKEZAJI WA BOASHARA YA MADUKA,GODOUN,AU SHOER ROOM YA MAGARI NK
ENEO LINATIZAMA KIGOGO ROAD
UKITOKEA RAUND ABOUT YA KIGOGO
KONA PLOT
HATI NI LESENI YA MAKAZI
BEI WAMEANZIA ML 270 MAONGEZI KIDOGO YAPO.
UKIBWA SQM 765
Contact call 0712531657
0789731695