House for sale at Kilimanjaro


NYUMBA PAGALE INAUZWA BINAFSI..
ILIKUWA IMEKAMILIKA KILA KITU IKAEZULIWA ILI IEZEKWE UPYA KISASA
Ipo luguluni manispaa ya ubungo kwembe
Awali ilikuwa ni nyumba kamili ametoa juu bati na madilisha ya mbao ili aongeze kozi moja apauwe apige bati za msouth juu
Sasa mipango si matumizii Dili limegonga mwamba na sasa anauza, ndani rangi, tiles, plasta safi kama unavyoona
Nyumba kubwa ni ya vyumba v3, kimoja master, sebule, jiko, dinning.
Nje ipo servant quarter ya chumba master na sebule zipo tatu
Eneo sqm 500
Bei mil 35 maongezi
Maji umeme vipo ndani hapo
Umiliki mkataba wa mauziano serikali ya mtaa
Ni pazuri sana kwa makazi
ENEO LIPO NDANI YA FENCE UJE UWEKE GATE TUUUU
SERVICE CHARGE 50Kπ
Mawasiliano Whatsapp au call 0784 919 453,, call only 0658 582 977
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza π https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#regrann #nyumbazakisasa #nyumbanichoo #nyumbanzuri #auction #dalaliwanyumba #viwanja #mashamba #plot #kiwanja #cloudstv #nyumbanafuu #nyumbayakupanga #nyumbayangu #nyumbadareslaam #clouds #maishaninyumba
#daressalaam #wemasepetu #mwanza #kilimanjaro #nyumba #magari #tanzania #biashara #bongo #kariakoo #business #home #houseforsale


















