House for sale at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI MNO ILA INAHITAJI MABORESHO KIDOGO(UNDERGROUND) YA GHOROFA INAUZWA KIMARA OVER####
VYUMBA V3 KULALA K1 MASTER,SEBLE 2,JIKO,DINNING NA CHOO PUBLIC NDANI YA FENSI####
UKUBWA WA KIWANJA SQM 500******* UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD MITA 600 TU#####
HATI ****** MAUZIANO****** SALES AGREEMENT******MTAA MZURI****** BARABARA SAFI KWA GARI YEYOTE HATA YA CHINI####
BEI MILLION 60 MAONGEZI MEZANIIII!!!!!!



















