House for sale at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KALI SANA INAUZWA BEI MILIONI 180
INA VYUMBA VYA KULALA 3 KIMOJA MASTER , CHOO YA PABLICK 2 , SEBLE, DIANING , JIKO NA STOO .
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI INA ENEO KUBWA SANA UNAWEZA KUJENGA NYUMBA KAMA HIO TENA . FULL DOCOMENT NYUMBA INA HATI
NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE KWA MAMZAIRE KUTOKA KWENYE BARABARA YA ZEGE DAKIKA 5.
SEVCHAGE 30000 KWENDA KUONA SAITY ZA KUNUNUA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347